Search

71 results for Florence Majani :

  1. Baba ambaka mwanae wa miaka 15, ampa ujauzito

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia Said Mapesa (42) kwa kosa la kumbaka mtoto wa mke wake mwenye umri wa 15 na kumpa ujauzito.

  2. Anna Abdallah: Nilipoteuliwa walishangaa, lakini sasa hawashangai tena 

    Jina la Anna Abdallah si geni masikioni mwa wengi. Katika medani za siasa, atakumbukwa kushika nyadhifa mbalimbali hasa ule wa kuwa mkuu wa mkoa wa kwanza mwanamke.

  3. Upungufu wa damu, tatizo Bagamoyo

    Mganga Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, Dk Kandi Lusingu amesema chanzo ni kutokula mboga za majani

  4. Simulizi mzee mwenye upofu anavyotembea kilomita tisa kuuza mkaa

    Mkazi Ndumwe mkoani hapa Abdul Mndonde mwenye ulemavu wa macho, anayejishugulisha na biashara ya mkaa amesimulia namna anavyopambana ili kupata fedha za kujikimu kimaisha.

  5. Makaburi yanavyogeuzwa chimbo la wezi, ‘gesti bubu’ Mtwara

    Wakazi wa kata ya Tandika Manispaa ya Mtwara Mikindani wameiomba Serikali kuwasaidia kusafisha eneo la Makaburi Msafa ili kudhibiti vitendo vya wizi pamoja na watu kugeuza eneo hilo kuwa sehemu...

  6. Umesoma vitabu vingapi mwaka 2022?

    Pengine ni swali zito kwa walio wengi hasa kutokana na ukweli kuwa Watanzania wengi hawana utamaduni wa kujisomea.

  7. Tembo wavamia mashamba Mtwara

    Tembo wamezua hofu kwa wakazi wa Kata za Mahurunga na Tangazo Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara baada ya kuharibu mazao yao na kuanza kuvunja mikorosho mashambani.

  8. Ujasiri wa dereva aliyekatika mkono akiwaokoa abiria

    “Hivi ndivyo inavyotokea, hata ukilima ukajikata kidole huachi kulima maana kula ni lazima, maisha lazima yaendelee,” anasema Halima Mbwana, dereva wa mabasi ya Super Feo aliyepata ajali na...

  9. Wakulima wapewa somo kufaidi korosho

    Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (Tari Naliendele) Dk Furtunus Kapinga amewaonya wakulima wa korosho kuacha kupalilia mashamba wakati wa kiangazi badala yake waanze...

  10. Dk Slaa afunguka

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden anayemaliza muda wake, Dk Wilbrod Slaa, amesema suala la Katiba Mpya ni muhimu, lakini linahitaji maandalizi ya kutosha na ya msingi.

Page 1 of 8

Next